Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Yani nilitoa timu za england nikabakiza Chelsea na man city pumbavu si bora ningemuacha tu arsenal na kashinda nilimtoa bure tu
Kuna mkeka wa kazaleta aliweka humu nikapunguza timu nime place bet ndio nashtuka why sikumtoa man city kwenye option ya penalty awarded....

Na kweli penalty imetokea, nilijilaumu sana aise maana navyoona ule mkeka unatick masaa machache yajayo [emoji52][emoji52]
 
Daah hii wiki nikula kipigo cha mbwa koko dah Chelsea na man cty nawalaan kwa kunikosesha hela ya sikukuu
mbugani_kwetu-20181214-0001.jpeg
 
Hannouver 96 0 -1 Fortuna Düsseldorf wamenichafulia hewa! Niliweka OVER 0.5 (FT) kupitia Premier Bet.
Naombeni ufafanuzi jamani? Inaum
 
Back
Top Bottom