Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

MAN CITY NILIMPA DOUBLE CHANCE 1.02 HIYO NI TAMAAAA
Sio tamaa, ndio game mkubwa...ela yako utakuwa umechangia wenzako wenye green.....kula uliwe ndio kamari....tandika mkeka mwingine siku bado haijaisha..bado Barcelona MPE hiyo Double Chance.,.. Lost & Win ndio raha ya Betting[emoji16][emoji16][emoji16]
 
First 10 min Draw yani nyau nyau unagiza juicy ya ukwaju ukiimaliza unachukua chako malufuku Kanji kulala na pesa ya mwanaume [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji483]
IMG_20181222_210526_107.jpeg
 
Naomba kuuliza wadau hivi awajaamaa wanao toa tips nawanajinadi kwamba nizakweli 100 % huku telegram naukitaji upewe inabidi ulipie Kuna mtu a shawai humu kulipia akazitumia zikawa nikweli
Screenshot_20181222-210859.jpeg
 
mkuu void unatumia card ya bank gani huku 1xbet na mimi nikafungue maana hapa ninayo ya equity bank ila nmejaribu kuitumia 1xbet kudeposit inagoma wakati kwenye website zingine kama ebay inapiga mzigo vizur
Nipe mkwanja nikuuzie account yangu ya 1xbet kwa 180k account ina laki 2. Utakachofanya utachange password na itakuwa yako tayari.

Wahi mapema offa hii ya sikukuu.
 
ha
Nipe mkwanja nikuuzie account yangu ya 1xbet kwa 180k account ina laki 2. Utakachofanya utachange password na itakuwa yako tayari.

Wahi mapema offa hii ya sikukuu.
hahaha mbona akaunti ninayo shida hii visa card yangu ya equity bank inagoma kudeposit
 
ha

hahaha mbona akaunti ninayo shida hii visa card yangu ya equity bank inagoma kudeposit
Hapa nataka niuze salio lililomo tangu wametoa system ya kuwithdraw via mobile sina namna tena ya kuzitoa. Kwa hiyo mkuu unataka salio au?
 
Back
Top Bottom