Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Poa poa ngoja nitawachek, maana Gal wanakata 20%
Hapana kodi waikata kwenye. Tax kama ilivyo princes bet au betpawa .sema ukicheza kwenye ticket utaona kama wamekukata kwa asilimia 20 ila sasa ukishinda tu ili hela waliyo kukata inarudi palepale Mimi nimeaanza Leo nimeshinda ikaja hela ile inayostahili kama utashinda 10,000 kwenye ticket itakuonesha 9,000 hiyo 1000 inakuwa imekatwa kama tax ila ukisjinda inakuja 10,000 kama kawa.kingine wanamechi nyingi hata kama sio weekend kama Leo makampuni mengi hana mechi ila wao zipo kidogo za kulizisha.
 
Game Saa mbili usiku leo unaweza pita nayo
Screenshot_2018-12-24-14-09-15.jpg
 
Jamani Mimi Leo nimeamia kampuni ya playmaster bet yani option hadi raha halafu mida hii wanamechi za live bet kama tano hivi wakati ukienda kwenye makampuni mengine wanamechi kabisa yaani wenyew mpaka jioni ndio wanaleta mechi za live duh! Hongera playmaster bet.
Ku WITHDRAW vipi? Mbona hamtujibu hapo
 
Naona leo mioyo yetu inapumua kidogo ila kuanzia jumatano shangwe zitaanza na vilio vitaanza, tuwe makini betting ni fursa kwa mtu makini cc Stevemolel, Kazetela and others.
Kweli mkuu wangu. Wapo wanaopiga pesa na wanaosaga meno daily.
 
Back
Top Bottom