Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Poa poa ngoja nitawachek, maana Gal wanakata 20%
 
Ku WITHDRAW vipi? Mbona hamtujibu hapo
 
Naona leo mioyo yetu inapumua kidogo ila kuanzia jumatano shangwe zitaanza na vilio vitaanza, tuwe makini betting ni fursa kwa mtu makini cc Stevemolel, Kazetela and others.
Kweli mkuu wangu. Wapo wanaopiga pesa na wanaosaga meno daily.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…