Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nba huwa wanacheza dk ngapi kwa quarter
 
Mfano hii game imefika dk ya 5 wana total pts 24 ... ni mara chache sana wasifikishe at least Over 50.5 ... ningekuwa nacheicheza hii ningeipa Over 54.5.


View attachment 977529

Na ingetoa km ifuatavyo ... Total pts 4th Quarter = 60.

Just so you know !
Ukitumia hiyo formula, utaliwa mara moja au mbili kwa michezo 10. Take it from me.


 
Salute bt mbona unaziacha hela zinakupita mkuu?View attachment 977534
Nilienda mazoezini, nimechelewa kudeposit ... na games zimeshaisha.
Nawasubiri waKorea baadae !

Ukiona dk 5 za kwanza hawajafika 20pts au zaidi ... likely watatoa Under 42.5 au Under 52.5 (kwa wale wanaocheza Quarter kwa dk 12 e.g. NBA, China & Philippines).

Good luck guys !
 
Na bora zaid kucheza over za quaters au za full time?

Bora kucheza kwa Quarter ... Full time sometimes ni changamoto. Maana unaweza kuta Quarter ya kwanza wametoa pts nyingi, Quarter ya pili wakalegeza, Quarter ya tatu wakatoa pts nyng na ya nne wakalegeza tena.

Binafsi, naona kucheza kwa Quarter ni nzr zaidi. You see the trend. Halafu muda wa kusubiri hela ni mfupi ... hahaha
 
hili somo ni zuri sana
 
Wakuu Niko nasubiri mkeka wa leo, maana mimi nimekuwa nikimcgangia kanji kila siku, naweka hela with no return
 
Mkuu huwa unatumia kampuni gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…