Pole kwa overlooking! Baada ya 60' na kama kuna goli hata 1 usitarajie normal. Hao jamaa wameshachaga hizo mambo!Hivi ndivo muhinda kanidanganya nkajua hiyo ni normal na dk plus hizo odds nimeisha kizembeView attachment 977332
Pole kwa overlooking! Baada ya 60' na kama kuna goli hata 1 usitarajie normal. Hao jamaa wameshachaga hizo mambo!Hivi ndivo muhinda kanidanganya nkajua hiyo ni normal na dk plus hizo odds nimeisha kizembeView attachment 977332
Leo ndo Leo!!!Mkuu nmeshajisajili sema nimedownload app yao nikjarbu kulog in kwa app ndo inaniletea hyo code za kenya
Ninayo ila nampango Wa kwenda kufungua akaunti benki ili niweze kuweka na kutoa1xbet, Chief ...
Uzuri ni interface yake iko friendly kuwahi kutupia bet.
Mzee nahitaji darasa tosha ktk mikeka yako hata kumi kuhusu hii Quarters maana inaelekea kuwa ukiwa makini nayo hukosi pesa ya Balimi na nyama choma kwa siku1xbet, Chief ...
Uzuri ni interface yake iko friendly kuwahi kutupia bet.
Mzee nahitaji darasa tosha ktk mikeka yako hata kumi kuhusu hii Quarters maana inaelekea kuwa ukiwa makini nayo hukosi pesa ya Balimi na nyama choma kwa siku
Daaah....mkuu huu mkeka unatoka kabisa yaani 😂😂😂😂😂😂😂😂😂Wanangu wa kubet mkeka wa leo huu hapa
PILAU win
NYAMA over 3.5
WALI win
MAHARAGE win or draw
UGALI lose
MAKANDE lose
SODA win and over 3.5
BIA double chance
Ukienda kwenye nyumba za wachaga lazima Lost iwepo mkuu haki ya manani vile nakwambiaDaaah....mkuu huu mkeka unatoka kabisa yaani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hao watoto wa Brighton ni wabishi mkuu na kwa Beki ya Arsenal hii game ni ngumuNalipuka
View attachment 977615
Wanaweza wakatoa sare hao yakawa yale yale ya man City last week 😎Hao watoto wa Brighton ni wabishi mkuu na kwa Beki ya Arsenal hii game ni ngumu
Arsenal na Chelsea wape dozi hii 1H 2.5 under kisha baadae ukachukue pesa yako ya Barimi...Wanaweza wakatoa sare hao yakawa yale yale ya man City last week [emoji41]
GoodArsenal na Chelsea wape dozi hii 1H 2.5 under kisha baadae ukachukue pesa yako ya Barimi...
Mkuu nijilipue uhakika?
Mkuu una tumia njia gani ku withdrawYes, trend inakuwa ni hivi. Ni sehemu ya research niliyoifanya takribani wiki nzima ...
Shida ya huu mchezo tunapoweka stake kubwa huwa kuna kahofu ... na ndio kanatulostisha sn. Unaweza ukaacha timu inayotoa ukafuata mchawi.
View attachment 977669
Hapana iyo ni kwa ajili ya kulipia bidhaa tuWakuu hivi mpesa mastercard inakuwezesha kutupia pesa 1xbet au melbet....
Mkuu nijilipue uhakika?