Kwa ukweli kazi hii ya bet ni ngumu na ina changamto sana kama kazi zingine na naweza hata kusema hii ya bet changamoto zake ni nyingi zaidi,,,,,,haiwezekani timu uipe under ya 0.5 halafu inatoa over ukiipa over inatoa under kama hawa waturuki wajinga kabisa
nawewe badala ya kuweka hata kilo au buku ten basiHizo zilikuwa fixed zote mbili kwa Jana
Usikate tamaa betting ipo beyond your understanding, inabidi tuamini kwa vitendo sasa
watu tunajipinda kumbe watu washpanga matokeo kutoka nyau nyau. Ndio maana league za Turkey na Greece naziogopa kwa kupanga matokei.Hizo zilikuwa fixed zote mbili kwa Jana
Usikate tamaa betting ipo beyond your understanding, inabidi tuamini kwa vitendo sasa
we uneenda kwenye link ya kenye hebu gonga hapa chap ujisajiliWakuu nisaidieni nataka kujiunga na betpawa lakini zinaniletea code za Kenya na nikitaka kuziediti niweke code za Tz haieditikiView attachment 976757
Mkuu nmeshajisajili sema nimedownload app yao nikjarbu kulog in kwa app ndo inaniletea hyo code za kenyawe uneenda kwenye link ya kenye hebu gonga hapa chap ujisajili
betPawa.co.tz - #1 sports betting site offering best odds in Tanzania
Nitumie hyo link ya kudownload app yao ya hapa Tz maana mm napenda Sana app sipendi kwenye onlineMkuu nmeshajisajili sema nimedownload app yao nikjarbu kulog in kwa app ndo inaniletea hyo code za kenya
situmiagi app hivyo utaratibu wake siujuiNitumie hyo link ya kudownload app yao ya hapa Tz maana mm napenda Sana app sipendi kwenye online
Nitumie hyo link ya kudownload app yao ya hapa Tz maana mm napenda Sana app sipendi kwenye online
kunasehemu unabadikisha country. Kwa chini kabisa kule utaona neno "change" fanya hivyoWakuu nisaidieni nataka kujiunga na betpawa lakini zinaniletea code za Kenya na nikitaka kuziediti niweke code za Tz haieditikiView attachment 976757
Naomba link ya app.Mkuu nmeshajisajili sema nimedownload app yao nikjarbu kulog in kwa app ndo inaniletea hyo code za kenya
Haziaminiki hiz maana watu wengi wanadanganya na huwez mpa mtu maana akiingia chaka atakulaumu na hapo hizo odd niliskilizia hadi dakika ya 15nawewe badala ya kuweka hata kilo au buku ten basi
Goli la Ajabu! Amis Tambwe Yanga vs Tukuyu Stars
Dah mkuu ahsante kweli jamii forum kla ktu kipo nmefanikiwa mkuukunasehemu unabadikisha country. Kwa chini kabisa kule utaona neno "change" fanya hivyo
poa poaDah mkuu ahsante kweli jamii forum kla ktu kipo nmefanikiwa mkuu
Niunge na mimi 0673748445Wapi mbona sijakuona?