hawana longo longo hao mpunga fasta sana unapataHalafu hii bet powa mwenye uzoefu nayo anijulishe kwenye kuwidraw inachukua muda Kama hzi zingine ambazo ukiwithdraw mpaka sku za kazi ndo uchukue pesa yako? Halafu mbona Huku kwenye kuwithdraw naona jina la kwanza na la pili na kiasi tu.
Zile betting company zingine kwenye kuwithdraw unaweza kiasi TU maana umeshajisajili wanayo jina na no Sasa hapa mbona unaweka jina la kwanza ,jina la mwisho wakati tayar Wana no .na wakati was kujisajili tuliweka namba tu na password hatukuweka jina?hawana longo longo hao mpunga fasta sana unapata
Hyo hapo mechi ya saa Tisa kamili first half 0.5 kazi kwenu odd n 1.5Leo hakuna games za kueleweka kabisa
Sorry ni national league south sio eastKesho pesa ipo, chukua England national league north na national league east zote weka over 0.5 unaweza pia okota za championship na EPL ukipenda
na huu ujinga wa instagram mshauleta hukuDownload TALA app
Hii ni njia bora ya kupata mkopo wa papo hapo!
Tumia namba ya mualiko 1JG1PN6.
Pata mkopo sasa: install app kwa link hii http://inv.re/79pcu
Kwenye sehemu ya promo code/referal code weka hii 1JG1PN6
Unawezeshwa kianzio cha elfu hamsini
Tumia mualiko uanze na mkopo wa elfu hamsini
Masharti ya malipo kuzingatiwa
MKOPO WA HARAKA KUPITIA TALA MPAKA 500,000/=
tembea na huo baadae tulie woteWakuu leo ligi ya Israel mbona sioni mikeka yenuu
na iziWakuu leo ligi ya Israel mbona sioni mikeka yenuu
Je Italians wameacha huu mchezo? Serie A siielewiwatu tunajipinda kumbe watu washpanga matokeo kutoka nyau nyau. Ndio maana league za Turkey na Greece naziogopa kwa kupanga matokei.
Ila mdau mbona hata hukutusanua mapema nasisi tukajilupua, kizuri kula na nduguyo
bado wanaoJe Italians wameacha huu mchezo? Serie A siielewi
Ndio huyohuyoNa me naomba uniunge kwenye group la whatsapp mzee mwenzangu
Watu mna maneno humu[emoji23] [emoji23]naona ulibinya sana makende mzee baba hahahaha kitumbua kisiingie mchanga
kweli kabisaaa kesho pesa ipoo yakutoshaa leo naona soko la basket na ice hockey sio zuri sanaaa tusubiri kesho pesaaaKesho nayo ni siku, tuenza kufanya analysis za mechi za kesho mapema,kwa maana mpunga wa kutosha na mechi za kutosha zipo.
Ipo wapi???wakuu wakabet wanatoa bonus kwa atakae share link ili akiclick akaingia kwenye web yao wewe unaingiza mtonyo
CHANGAMKIA FURSA
Tusiwe wachoyo kubofya hizo link ili watu wapate hizo jero,jero!