Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

sema umecheza kwa woga mkuu hply waweza tusua.
 
Ila jana niliwaambia England championship tuwape wote over 0.5 tukajazie na England national north na south, kuna m2 alifuata ushaur huu??
 
Aliyesema betpawa Ni ndugu yake 1*bet hajakosea hata kidogo nimeanza kutumia Leo kwa kweli chakuniamimisha labda watoe malipo kwa njia ya laini za smu tofauti na hapo mpaka kieleweke. Kwanza kudeposit pesa hukatwi, kilichonishangaza n kwenye kuwithdraw pesa yaan nmemaliza kubonyeza narudi kuweka smu normal tayr ile imeshaingia m-pesa haijaisha hata sekunde 10. Kwa kweli betpawa mko vzur sema mnachelewa kidogo TU kuwenye kuweka pesa wakati wa live betting haswa sisi tunaocheza magoli lakn hzo n madhaifu kla mahali yapo. Hongeren Sana betpawa
 
*KAMWE USIWEKEZE KIASI CHA PESA KATIKA HUU MCHEZO, AMBACHO HUWEZI KUKIMUDU KUKIPOTEZA*
 
Kipindi cha pili dk 72
Brighton 1 v 1 Arsenal
Umiliki was mpira 37% dhid ya 63% arsenal NOO SHORT ON TARGET.MBWA KABISA ARSENAL MBWA MBWA MBWA MBWA MBWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…