Wapigwe tuu
Senior Member
- Jan 31, 2015
- 173
- 224
Celtic leo akininyima magoli mawili ndo simjui tena
kama Mimi vileAc milan ban ya maisha
Fala sana hawa ac milankama Mimi vile
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimerudi kwenye mikeka [emoji23][emoji23][emoji23]
HAHAHAHAAH mechi ya tatu hii nyau nyau fyekelea mbali wapuuzi hawa AC MILANAc milan ban ya maisha
LostSioni dalili za ac milan kupata hata goli 1
Chief inawezekana hukuota itakuwa ulikuwa unajiwazia lakini ukiwa usingizini. Martial hata sub hayupo kwenye kikosi cha leo cha mnchester utdBet tu game hiyo tu yenyewe utanikumbuka.
Sijawahi kuota kitu kisitokee. (niamini kwa muda kisha utajua nilimaanisha nini)
Martial hajanza hata kwny kikosi hayupo
Muangalie sana juventus kashinda mechi nyingi sanacheki hiiView attachment 977894
Leo juve ana matokeo mawili tu nazani afungwe au draw atalanta ni watu wa maajabu.Haya maitaliano hayana akili aisee