Heart_Throb
Senior Member
- Apr 25, 2017
- 113
- 50
Ndio hiyo Bonus ni kwa wateja wapya tu hata kama una mshkaji wako mshtue ajisajili kisha nitumie Username yake #INBOX Nitampatia Bonus yake.je mtu kama ni member tayari yaani alishajisajili hausiki na mpango huo?