kalemauji
JF-Expert Member
- Jun 24, 2014
- 1,629
- 1,845
hapo dunia nzima kaondoka nayoSio mkoa kaondoka na dunia ********...kvant yote imeisha kichwani
hapo dunia nzima kaondoka nayoSio mkoa kaondoka na dunia ********...kvant yote imeisha kichwani
acha kabisa mzee baba yani huwezi amini aisee
dah aisee
sidhani kama wataifuata Spurs ameshasepa na kijijitip ya mwisho!
1. ac milan win
2.Liver win
3.sporting cp win
changanya na zako...tent entente
Sent using Jamii Forums mobile app
daah ila wakati mwingine kuna kaukweli hapo kiongozi, maana leo watu wengi walimpa Spurs ila kilichotokea huwezi aminiTote Anawasalimia sanaa... direct win ni Kupoteza Pesaaa achaa huoo Mchezo kila weekend kina mkubwa anasepa na Watu wa direct win kibaoo!!
Badilika anza kucheza magoli japo sio uhakika sana ilaa at lst.
Sent using Jamii Forums mobile app
nakushauri usiwe unacheza mkeka mmoja, hizo mechi next time weka mikeka tofaut ikiwezekana hata mitatu ili kupunguza loss
stake 80k....daah pole sana mkubwa!!!
Kasepa na nchitottehnam anaondoka na mkoa kama siyo kijiji
Nadhani habari yako umeipata kwa sassuolo na Atalanta wametoa 5.5over.Wakuu maombi yenu ni muhimu, kesho jumapili mpango wa balimiView attachment 980645
Sent using Jamii Forums mobile app