Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Tote Anawasalimia sanaa... direct win ni Kupoteza Pesaaa achaa huoo Mchezo kila weekend kina mkubwa anasepa na Watu wa direct win kibaoo!!

Badilika anza kucheza magoli japo sio uhakika sana ilaa at lst.

Sent using Jamii Forums mobile app
daah ila wakati mwingine kuna kaukweli hapo kiongozi, maana leo watu wengi walimpa Spurs ila kilichotokea huwezi amini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…