Kikinga
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 2,098
- 2,002
mkuu nilikwambia jana weka cap ile ya man utd...saiz sijui ungekuwa wapi...ila anyway blessed mkuu.Chelsea amenipotezea target ya kupata laki moja, nimefanya biashara ya chenji nisingekuwa na plan B ningeshapigwa 50,000.
Ijumaa nyingine zinatafutwa 2 sure odds... View attachment 984413View attachment 984414
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona dk ya 9 hata 30 hawanafika ila huu mchezo was kiduanzi kweli unaweza kuta wanabadilika ndani ya dk 1
HawawezUmeona dk ya 9 hata 30 hawanafika ila huu mchezo was kiduanzi kweli unaweza kuta wanabadilika ndani ya dk 1
Sent using Jamii Forums mobile app