Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

...leo nimpigwa mtaji woteeeeeeee sirudii tena kuzuia live duh! nimeanza nikazuia under 0.5 nikapigwa nikazuia 1.5 nikapigwa nakazui tena under 3 nikapigwa nikaiacha nikasubirib dakika ya 70 under 4.0 dakika ya 89 matokeo yakasoma 3-2 45k yote imeenda hahahaa duh. [neroca fc vs shillong lajong fc]
 
Reactions: bul
Mkuu pole sana haya ndo maisha yetu usikute hiyo hela uliyopigwa uliwapiga wao wenyewe...sisi wachezi wa bett atukatag tamaa daima tunafocus mbele.so mkuu relax tafakali chukua hatua change option au tafuta team ambazo unaona zitakuwa zinaenda sanjari na prediction yako.lasting Good luck mkuu.[emoji123][emoji123][emoji117][emoji383][emoji383][emoji383]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nipo napanga kikosi cha maangamizi ya kanjibhai plus mataji usio filisika atanikoma we ngoja
 
Reactions: bul
dawa ni kufungua kampuni ya bet.
 
Ngumu iyo..chagueni zenu apo ama cheza single/ ama double chances 5 kati ya 7 zinaweza toka sawa...ama zote..ila zote ntakuwa ni zali sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…