Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Halaf hao basket NCAA wazuri sana me nimejarib kucheza over inakubal, nachukuaga game zinazoanzia over 118 mpaka 129 nikiikuta nasukuma ndanii

Sent using Jamii Forums mobile app
Jana kulikuwa na game zaid ya 50 na ucku wa kuamkia kesho zipo kama 50
Screenshot_20190104-110749_Chrome.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halaf hao basket NCAA wazuri sana me nimejarib kucheza over inakubal, nachukuaga game zinazoanzia over 118 mpaka 129 nikiikuta nasukuma ndanii

Sent using Jamii Forums mobile app
M
Jana kulikuwa na game zaid ya 50 na ucku wa kuamkia kesho zipo kama 50View attachment 985584

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza ukapata mda kidogo ukaelezea zinavyokuwa mana wakati mwingine naona wanaenda hadi dk 12 na wengine 10,na utakuta wengine vikapu ni vingi hadi 200+ na wengine ni 199- sasa hapo mm full kulambwa tu ,huwa cjui wale ni wa wap na wale wa kabila lipi,ugeni wa basket shida sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MUnaweza ukapata mda kidogo ukaelezea zinavyokuwa mana wakati mwingine naona wanaenda hadi dk 12 na wengine 10,na utakuta wengine vikapu ni vingi hadi 200+ na wengine ni 199- sasa hapo mm full kulambwa tu ,huwa cjui wale ni wa wap na wale wa kabila lipi,ugeni wa basket shida sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaenda dk 12 ni Wachina na USA ni NBA, wengine wanaishia dk 10 so hao wanaofikaga sana point 200 ni hao NBA na ligi la China

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom