DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,321
- 109,608
Soon ntakua ulingoni mkuuAsante mkuu karibu sana
Sahv Niko likizo kidogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Soon ntakua ulingoni mkuuAsante mkuu karibu sana
Mkuu ulieka i correct score?ngoja nitembelee hizi baraka zako.
Pamoja mkuu inplay zako muhimu sana
Hawajanikumbuka kweli 😂Watakukumbuka baada ya game hii
Sent from my SM-G532F using Tapatalk
Kila kheri mkuuDuh, sawa mkuu.
God's Plan.
Na games nyingine mbaya kabisa ambazo unapaswa kuziepuka kuzipa direct win ni hizi za makombe kama vile FA cup kimbia mbio nyingikuna ligi kama za italy, ugiriki, uturuki hizo nyoko sana kwa kupanga matokeo
Kila kheri mkuu
Mzunguko mrefu mno hao 1xbet na gharama kubwa kuipata hela yako uliyowalaHao wazinguaji kutoa pesa 1xbet tumia Exim bank prepaid card gharama yake 10,000tsh na kitambulisho tu (cha kura,cha taifa, lesen )
Ntarudi mkuu, HEBU ngoja kwanza Nipumzishe KICHWA.Pamoja mkuu inplay zako muhimu sana
Salute kwako mkuuMan city 2-1 anashinda
gg & 3+Mkuu ulieka i correct score?