Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mbona mnang' ang' ania option moja ya normal wakati option zipo kibao unaweza kucheza over? under. Baadae mtakuja kulalamika hapa ooh sijui city au liver alaaniwe
 
wazee wenzangu kuna game za PES HUKU NAONA KUNA HELA DAKKA KUMI TU USHAKULA CHAKO 1XBET
 
Utakuwa umeshinda maana bado ushindi utakuwa unaendelea kwa home team

Sent using Jamii Forums mobile app
,2/2 kwa uelewa wangu ni kwamba team 2 ashinde mwanzo mwisho kwamba 1st half ashinde na 2nd half vile vile ashinde,,yaani kama 1st half iwe home team 1-2 away team halaf 2nd half home team 0-1 away team..hapo game itaisha 1-3 na away team atakua ameshinda vipindi vyote viwili..ndo naelewa ivo kwa maana ya 2/2

Ok ni sawa kabisa nimeconfuse hapo badala ya kusema away team nikasema home team

Sent using Jamii Forums mobile app
 
,2/2 kwa uelewa wangu ni kwamba team 2 ashinde mwanzo mwisho kwamba 1st half ashinde na 2nd half vile vile ashinde,,yaani kama 1st half iwe home team 1-2 away team halaf 2nd half home team 0-1 away team..hapo game itaisha 1-3 na away team atakua ameshinda vipindi vyote viwili..ndo naelewa ivo kwa maana ya 2/2

Sent using Jamii Forums mobile app
half time/full time.

Elewa hivyo na si vinginevyo
 
Kuna anaebet jackpot zile za betpawa?
Hivi 100 mara 1000000 ni ngapi? Ila washenzi wanapiga hela kwenye jackpot! Yani single jackpot wanaondoka na over 2 billion kudadadeki!
 
Back
Top Bottom