Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,834
- 40,641
mimi hapa.Kuna anaebet jackpot zile za betpawa?
mimi hapa.Kuna anaebet jackpot zile za betpawa?
Ukiangalia ivo utakua hubetHivi 100 mara 1000000 ni ngapi? Ila washenzi wanapiga hela kwenye jackpot! Yani single jackpot wanaondoka na over 2 billion kudadadeki!
Nitakopi yako ijayomimi hapa.
Nazipenda zile 😁zile za shilingi mia mia 😀😀😀😀😀 tupo vichenchi vikibaki unakatakichwa unaweka
jumamosi hii ipo.Nitakopi yako ijayo
Hata mimi nacheza mara tanojumamosi hii ipo.
But nachezaga mara tano.
Week iliyopita nilipatia 10/17
Kupatia Jackpot yao ni sawa na kutoka nyumbani ukitegemea kuokota burungutu la hela njiani....My dear never ever!!Ukiangalia ivo utakua hubet
We jifikirie wewe tu unatoa kishilingi 100..io bill 2 wanajua wenyewe
mbona huyu mdau hajibiwi, tunasubiri majibu piaSamahani wakuu kama nitauliza swali lililo jibiwa humu, hivi unaweza toa pesa kupitia MasterCard 1xbet?
Na pia anatakiwa ashinde vipindi vyote viwiliOk ni sawa kabisa nimeconfuse hapo badala ya kusema away team nikasema home team
Sent using Jamii Forums mobile app