yorkshire
JF-Expert Member
- Sep 9, 2016
- 2,532
- 3,177
Kama huamini jaribu uwe unajiwekea tu games uone kama itazidi hiyo helasio kweli wengine unaweza kula zaid utakavyo. Mfano playmaster
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama huamini jaribu uwe unajiwekea tu games uone kama itazidi hiyo helasio kweli wengine unaweza kula zaid utakavyo. Mfano playmaster
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aaaah kumbe baba anabet!!!!hata hao 1xbet nadhani wako hivyo kwa pesa ndefu. Hii ni biashara, watavutia vipi wateja wengine?
But hata mimi sipendi, na niliwahi kujadili hiyo kero ya kuuzishwa sura, yaani hadi kila mtu ajue kama huwa unabet.
Ndio ingawa ni kitambo sana nikawahamaga maana kupeleka direct mpesa ni mbinde
Ni table tennis mkuuacha uongo sio TENNIS hio ni vigum set za tenis kufika hata 15 af unaleta habar za 17,18 na 19
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mkuu ila inategemea na bankSamahani wakuu kama nitauliza swali lililo jibiwa humu, hivi unaweza toa pesa kupitia MasterCard 1xbet?
madrid ni janga aisee yale ya kina the blues na benficaMadrid sio wa kumuamini asee
Wamechomoa benzemamadrid ni janga aisee yale ya kina the blues na benfica
hii mechi inatoa goli nyingiMamu city kashamuweka liverpulu kimoja
liverpool anachomoa hilo goliMamu city kashamuweka liverpulu kimoja
mzee wa kuvizia
Kipindi hiki usithubuti kubetia direct win kwa real madrid,napoli,ac milan,inter, man u, chelsea,asernal na nyingine zinazofanana na hizo utalia bila kupigwamadrid ni janga aisee yale ya kina the blues na benfica
Man united ungemtoa hapo mana ameanza kurudisha imani kwa wazee wa direct win, wazee wa mechi mbili odds 2Kipindi hiki usithubuti kubetia direct win kwa real madrid,napoli,ac milan,inter, man u, chelsea,asernal na nyingine zinazofanana na hizo utalia bila kupigwa
Sent using Jamii Forums mobile app