Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Odds zao hua zinabadilika badilika kulingana na game na muda unavyo kwenda ukibet kama siku tatu kabla ya game odds zinakua nzuri na kiwango cha return ukipiga mkeka kwa ligi za kawaida ni USD 163000 kwa game za uefa wanatoa hadi USD 1600000 kwa mkeka ukishinda
ok
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naona unajitahidi kuwapigania lkn ushauri ni huo hatutaki ulie mwezi mzima maana kazi yetu hii unaielewa vzr kbs kuwa unapoliwa mood inabadalika kbs ni kama umefiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
hapo pana ukweli aisee yani siku ya kupigwa na muhindi unapoteza network kama soka255 hahahahahahaha
 
Baadaye tuko Hapa ni kuviziana tu.
Screenshot_20190104-000522~2.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Warusi ******* sana ingawa hakuna limit ya kula wewe hata bilioni ukila wanakupa tofauti na makampuni mengine ya betring ambayo kiwango cha mwisho kwa mkeka mmoja ni 20m + ila kwa tz jinsi ya kuitoa ni jasho sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Utakuwa mgeni wa 1XBET wewe. Uliza wakongwe ujibiwe.

Zamani tulikuwa tunatoa na kuweka 1XBET bila jasho lolote.

Sema, sasa hivi wametoa ""MOBILE PAYMENT""" na majibu yao ni kwamba watarudisha sooon (na imepita Miezi zaidi ya mmoja now).

So, hizo njia nyingine sasa wadau wanatafuta ili tuendeleze mapambano wakati tukisubiri 1XBET warejeshe.



For your Information.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa mkuu
Ila mimi huwa nabet magoli..sinaga imani sana katika kumpa mtu ushindi
kucheza direct win kunahitaji roho ya chuma ila ukipiga pesa, unampiga vizuri sana muhindi ila ngoja akuotee kama jana ya Benfica na msenge mwenzake Chelsea
 
Back
Top Bottom