Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Aisee
Screenshot_20190104-002213~2.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utakuwa mgeni wa 1XBET wewe. Uliza wakongwe ujibiwe.

Zamani tulikuwa tunatoa na kuweka 1XBET bila jasho lolote.

Sema, sasa hivi wametoa ""MOBILE PAYMENT""" na majibu yao ni kwamba watarudisha sooon (na imepita Miezi zaidi ya mmoja now).

So, hizo njia nyingine sasa wadau wanatafuta ili tuendeleze mapambano wakati tukisubiri 1XBET warejeshe.



For your Information.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe vp nilijoin 1xbet toka wameingia tu tz wewe unasema mwezi mmoja au minane nyuma na tatizo kubwa la 1xbet ma agent wao wa bongo hawana huduma online ni lazima uwasilinae nao direct in Moscow

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Congra mkuu ndo hivyo muhindi nae lazima awe anapata uchungu ingawa uchungu anaoupataga ni kidogo mno kuliko anaowaliza kwa uchungu mkubwa

Namkumbuka mdau wetu mmoja alituambia jamaa yake aliliwa 3 millions kwa mikeka 10 alikuwa anazimia kila saa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Asizimie arudi tuendelee na kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na ukiona mhindi ameanza kukula tafadhali mpe hela yako mtu ( rafiki,mke etc) huwa kama amekupulizia dawa fulani hivi; desire ya kutaka kurudisha hela uliyoliwa huwa ni kubwa mno na hapo ndipo mhindi huwa anajipigia amependavyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom