Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Account ya bitcoin mefungua ila nilienda buy or sell ndio inazingua kabisa password ina zingua na username
Screenshot_2019-01-03-22-42-49.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hiyo chini ni akaunti yangu lakini nilienda upande wa kununua bitcoin kwa seller si kuna sehemu ya kulog in najaza taarifa zile zile inagoma
Umekosea password au username,alafu kwann usiingilie kupitia chrome ili usev password zako? Kuna mtu nilimfungulia bitcoin wallet ikawa Kama wewe apo tukarudia vizuri ikawa poa

Sent using Jamii Forums mobile app
Screenshot_2019-01-03-22-42-49.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupatia Jackpot yao ni sawa na kutoka nyumbani ukitegemea kuokota burungutu la hela njiani....My dear never ever!!
ila hawa jamaa ni noma pamoja na kuweka option 3 kwenye game moja lkn bado tunashindwa kula.
 
Back
Top Bottom