Unaweza kuhisi kuna mashine wanachezesha..yaani wanavizia tu mkishaweka mzigo wa maana wanapindua tokeo..Basket bana
Yaani litimu hadi dakika ya 35 halijafikisha 90
Unalipa under linagonga vikapu 28 kwa dakika 5
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huwa una post before?Odd kubwa ndo nzuri moja tu unakitu Cha maana na kupigwa na ww NI moja tu upo chiniView attachment 985996
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimepost mwingine umeona sema siyo uhakika Sana usije ingia kichwa kichwa tukaanza kulaumiana mm mikeka ninayo post kushinda 39%
Poa mwamba..usituache..najua wanaodesa kimya kimya ni wengi
Hizo za 99% kushinda huwa sigusi maana hizo nikikosa huwa naumia Sana kuliko hizi ambazo najua uwezekano was kushinda NI mdogo ila mbali na hivo Kuna vigezo naangalia siyo Kila timu naweza chezaPoa mwamba..usituache..najua wanaodesa kimya kimya ni wengi