Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Teh
Screenshot_20190104-205740~2.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basket wakati mwingne utazani kuna mtu anachezesha ,shida sana betpawa hadi uwe na pc au cm nyingine uwe unatazama mwendo wake kuptia 1xbet la sivyo ni homa itakupata, wamekaa kijanja na point zao za kiwiz wiz tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Bet pawa live basket anazengua sana ndani ya dk anatoa tofauti na 1xbet yeye kwny over utazikuta za kutosha bet pawa utazikuta 3 tu over me ndo maana mda mwingine naamuaga kujilipua kabla game hazijaanza maan najua live yao ipo kihuni




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom