Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hivi inachukua mida gani premier kurudisha hela ? Nna week sasa wanazingua.....

Sent from my SM-G928C using Tapatalk
pole mkuu mi nina mwezi tangu november 28 hawajanirudishia unawapigia kila siku jibu lao ni lilelile bado wanashughulikia, wanaboa kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…