Isack bruno
Senior Member
- Dec 12, 2016
- 192
- 207
Noma kweli maana wakitabili draw inakua kweli na ukiona timu dhaifu wameipa ishinde inashinda kweli
Hii gem inaend draw kwel ujue...Noma kweli maana wakitabili draw inakua kweli na ukiona timu dhaifu wameipa ishinde inashinda kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni app ya tip au ya kuonyesha live score?Umeona hiyo walivyoweka na jamaa kashinda kweli ana odds ya 3.6View attachment 987763View attachment 987765
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao jamaa sio poa aisee wanafaa kwenye upelelez...Umeona hiyo walivyoweka na jamaa kashinda kweli ana odds ya 3.6View attachment 987763View attachment 987765
Sent using Jamii Forums mobile app