Ndani ya nusa saa tu inakua tayari wakat mwingine dk 10uki withdraw toka 1xbet inachukua muda gani kuingia kwenye akaunti ?
ngoja na mimi kesho nikafuate prepaid card ya hao banc abc mapema maana nilikuwa nayo ya equity bank kila siku ilikuwa inansumbua nkaja kugundua haikubal kudeposit kwny gamblingNdani ya nusa saa tu inakua tayari wakat mwingine dk 10
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anapigwa dk za mwisho
Skrill lazima iwe connected na benk account yako so unatoa 1xbet unapeleka Skrill then to bank.... Makato sijui Mana sijawahi itumiaIvi kuna ambaye anatumia skrill account ku deposit na ku withdraw 1xbet,, nilitaka kujua anapataje pesa mkononi kupitia skrill account
Sent using Jamii Forums mobile app