WIMICKY
JF-Expert Member
- Jun 9, 2011
- 1,439
- 1,575
Mkuu mimi Simu yangu imejaa betting site kama tano hivi tofauti na almost zote zina mzigo wa kutosha.
Mwaka huu natafuta million 15 kwenye betting business ije mvua lije jua, afe kipa afe beki. kama utataka kutembelea nyota karibu show itaanza punde kwa sasa sijaanza rasmi bado nasuka strategy makini sana ya kuanzia nayo kazi mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Madrid sina shida nayeBad day nimetoka kupigwa 30k kwa shiefield united, saiv naona tena Madrid na Leicester wanataka wapite 30k nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mkuu. Kwa Madrid, unaweza salimika. Sio kwa Leicester.Madrid sina shida naye
Kwa aliyefata
Dejavuu nataka niisome hiyo injinia twende sambamba...Mkuu mimi Simu yangu imejaa betting site kama tano hivi tofauti na almost zote zina mzigo wa kutosha.