Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kila biashara ina risk zake Muhimu ni kupunguza risk tu then unakusanya misimbazi yako kirahisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo jini tamaa limenirudisha nyuma tena nilikua naenda vizuri mechi mbili tu nashangaa juzi jana na leo najikuta anaweka matimu kibao na kuambulia kichapo tu, naanza kujidhibiti tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wee Leicester acha ufala unanikosesha mshahara wa Jiwe kwa mwezi fala wewe piga kazi acha kutokea sengerema!
 
Ahahahaha!! Akaunti yenye laki 2 na 76 elfu, unataka kwa kwa laki 2 mkuu!?

Anyways, Akaunti ishapata mteja tayari anatoka humu humu muda mfupi baadae tutakamilisha biashara.

Asante kwa kuwa interested mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Aise naona nimechelewa kwa kweli, so this time utakuwa unaperuzi kwa betting site ipi maana na wewe uko na ngekewa fulani hivi...
 
Nakuombea asizingue mkuu mi mkeka wa 5 days kauhitimisha Fulham leo tena wakiwa nyumbani na alikua anaongoza

Sent using Jamii Forums mobile app
Aaaaaah pole mkuu..Fulham nilikuwa naona odds zake namwambia Kanjiby hihihiiii maana namjua Fulham ni kilaza mbaya sasa nikacheki timu anayocheza nayo ni kali balaa nikajipitia zangu! Nilitaka niweke magoli nikahisi atakaza watoe 0-0 Ila hili fala nililiamini linaniangusha likizingua linakula life ban! Dah litakuwa limeniharibia kweli aisee.
 
Aise naona nimechelewa kwa kweli, so this time utakuwa unaperuzi kwa betting site ipi maana na wewe uko na ngekewa fulani hivi...
Mkuu mimi Simu yangu imejaa betting site kama tano hivi tofauti na almost zote zina mzigo wa kutosha.
Mwaka huu natafuta million 15 kwenye betting business ije mvua lije jua, afe kipa afe beki. kama utataka kutembelea nyota karibu show itaanza punde kwa sasa sijaanza rasmi bado nasuka strategy makini sana ya kuanzia nayo kazi mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…