Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Makinikia hayo
Screenshot_20190110-080437.jpeg
Screenshot_20190110-080217.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poa

Sema unawapa wadau maelezo kwa kifupi sana..Ni Hivi ukiwa na line ya safaricom unaweza kuitumia hela toka Mpesa ya Tanzania.Hela ikifika kule inakuwa ni Ksh..then unaituma kwenye 1xbet,PayPal account or Skrill.Kuwithdraw the same unatoa hela 1xbet > safaricom > mpesa

Wenzetu wanaruhusu hizo huduma.
 
sasa upande wa location kwenye 1xbet kama tuliweka Tanzania hapo itakuaje?
Au utafungua a/c nyingine
 
Nipo Iringa,upo wapi chief tumake deal.
 
sasa upande wa location kwenye 1xbet kama tuliweka Tanzania hapo itakuaje?
Au utafungua a/c nyingine

Fungua nyingine tu...jaza details zinazokuja na line.Safaricom ina options nyingi za kudeposit kwenye hizo company...
 
Poa

Sema unawapa wadau maelezo kwa kifupi sana..Ni Hivi ukiwa na line ya safaricom unaweza kuitumia hela toka Mpesa ya Tanzania.Hela ikifika kule inakuwa ni Ksh..then unaituma kwenye 1xbet,PayPal account or Skrill.Kuwithdraw the same unatoa hela 1xbet > safaricom > mpesa

Wenzetu wanaruhusu hizo huduma.
Mbona kama unajijibu mwenyewe au najiongopea?
 
Back
Top Bottom