Traveller_mona
Member
- Jan 11, 2019
- 94
- 162
mimi nikajua umeplace kumbe unaangalia tu mkuuNgoja niangalie ligi ya uchina huwa wanafungana Sana mana naona bet Pawa game zao optio wamebana za magoli nikuanzia over ngoja niwaingilue uku paliView attachment 992943
Sent using Jamii Forums mobile app
Cjaifatilia kujua vzr mana bet Pawa nimekuta option ya magoli nikuanzia over 4 [emoji460][emoji848]
Haya magoli ya kipindi cha kwanza si mchezo,kama uliweka under hapo unaweza ukazimiaAiseee duuuhView attachment 992969
Haya magoli ya kipindi cha kwanza si mchezo,kama uliweka under hapo unaweza ukazimia
Sent using Jamii Forums mobile app
Imoooooooo. Mungu yupo jamani. Kwa 2500 tu nimepiga mil 2.143View attachment 992979
Sent using Jamii Forums mobile app