Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Screenshot_2019-01-12-19-37-55.png
naomba kutafsiriwa/ kueleweshwa hiyo handcap

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna formula maalumu kwenye hii kazi. Ni bahati zaidi kuliko uchambuzi.

Check Sporting Lisbon vs Porto, hata goli moja la kusingiziwa halipo. Grrrrrrrrrr.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha ... hizi mechi za England za Jumamosi saa 11 au 12 jioni zina balaa sana.
Kwa utafiti usio rasmi mikeka mingi inachanika mida hiyo.




Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa mkuu.. Mimi nilikuwa na mkeka wangu umetiki kwa asilimia 50 kasoro Liverpool atoe goli mbili utiki kwa asilimia 100 lakini na yeye kazingua.. Natamani kuacha hii kitu.
 
Back
Top Bottom