Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Aiseee
Screenshot_20190112-174744~2.jpeg
 
Mpira hauna adabu wakati naomba Burnley matokeo yabaki yalivyo 2-1 toka dakika ya 20 kipindi cha kwanza na kweli yamebaki huku nikimsubiri Liverpool apate goli mbili tu nifunge hesabu to my surprise liver kazingua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom