sabasbisangwa
Member
- Aug 31, 2018
- 60
- 17
Mmi kashaondoka na mtaji wangu nimemupa first half over 0.5 but lkn kchn
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmi kashaondoka na mtaji wangu nimemupa first half over 0.5 but lkn kchn
Acha tu Mkuu bahati mbaya nilishaplace bet ,mate yalikuwa yananitoka.Aise hii game ya simba odd zilipanda hadi 5.5 kwa first half lipatikane goal 1 nikawa nasita afu goal limepatikana kweli...
Acha tu mkuu nna mkeka una 2.5 0ver natoa macho hapa balaaAnarukishwa kichura
Anaweza akafanya maajabu ngoja tumuangalie.
Acha tu Mkuu bahati mbaya nilishaplace bet ,mate yalikuwa yananitoka.
Tehteh acha tu Mkuu ila simba huwa anajitahidi kupata goli kipindi cha kwanza dk za nwishoni, ila roho inaniuma kwasababu nimewahi kuplace bet na goli limechelewa odd zikapanda mpaka 5+
Mkuu usicheke kachana wa draw, over 2.5 na direct win acha nibaki mpenzi mtazamaji[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
kapigwa ngapiArsenal kanipunguzia nafasi ya kushinda jackpot.. Mapambano yanaendelea.