Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jacqueline na odds 3 Mzuka hizo
Screenshot_20190112-125202.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sitakuja kubet na kampuni za kibongo maisha yangu yote,kama haitarudi 1xbet au kupatkana njia rafiki ya kuweka na kutoa hela basi mm katika betting nitakuwa mpenzi mtazamaji.

Wana option za kijinufaisha wao tu,wanataka wale wao tu ,jana wamenipga sana,wana odds za kijanja janja tu,jana betpawa kala hela yangu hadi ya nauli nikashindwa hata kusafiri,wamenipiga balaaa hadi leo nakaa bila amani ,weekend hii kwangu ni mbaya mnoo.

Sitabet na kampuni za kibongo tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tafuta lain safaricom ndio suluhisho lamatatizo yote 1xbet

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom