Laury
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,305
- 1,567
PMbet.co.tz kaicheki kama ikikufaa kaitumie yenyewe pia ina option nyingi mno
PMbet.co.tz kaicheki kama ikikufaa kaitumie yenyewe pia ina option nyingi mno
Sent using Jamii Forums mobile app
Inazingua kinoma..unaweza ukawa unaanda timu zako ukija kutaka kulipia unakuta zishafutika..
Ila kwa ukweli 1XBET ni kiboko yao,waliofanya mpango wakaitoa mobile payment na walaaniwe maaninaa😕😡😡
Hii imeahatoa hata kabla game haijaishaaa[emoji122][emoji122][emoji122]
Hahaha ... aisee, hiyo experience nilishaipata. Umefanya uchambuzi vizuuuuri sasa anza kuweka mkeka. Utajuta. Yani km unakokoro ndio balaa, unafika timu ya 15 bdo moja umalize, mkeka unafutika uanze upya. Grrrrrrrrrrr
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa, shida ni hiyo tu.Meridian hapo ndipo wamefeli yaani ili tatizo la miaka nenda rudi...isingekuwa ivyo ingekuwa ni moja betting company nzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu siku hizi naona unakuja kwa machale..unachungulia kidogo[emoji2][emoji2]Hahaha ... aisee, hiyo experience nilishaipata. Umefanya uchambuzi vizuuuuri sasa anza kuweka mkeka. Utajuta. Yani km unakokoro ndio balaa, unafika timu ya 15 bdo moja umalize, mkeka unafutika uanze upya. Grrrrrrrrrrr
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiv kampuni za kibongo hawawezi kuiba au kuiga mfumo wa 1xbetSitakuja kubet na kampuni za kibongo maisha yangu yote,kama haitarudi 1xbet au kupatkana njia rafiki ya kuweka na kutoa hela basi mm katika betting nitakuwa mpenzi mtazamaji.
Wana option za kijinufaisha wao tu,wanataka wale wao tu ,jana wamenipga sana,wana odds za kijanja janja tu,jana betpawa kala hela yangu hadi ya nauli nikashindwa hata kusafiri,wamenipiga balaaa hadi leo nakaa bila amani ,weekend hii kwangu ni mbaya mnoo.
Sitabet na kampuni za kibongo tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bana wee, vipigo ni heavy. Unamla laki 2, akiamua kuzichukua, anachukua laki 2 na nusu au tatu kbs.Mkuu siku hizi naona unakuja kwa machale..unachungulia kidogo[emoji2][emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app