Laury
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,305
- 1,567
Mkuu jaribu jaribu njia nyingine hizi wanazotumia wenzetu kudeposit ingawa bado naona zina mzunguko kidogoSitakuja kubet na kampuni za kibongo maisha yangu yote,kama haitarudi 1xbet au kupatkana njia rafiki ya kuweka na kutoa hela basi mm katika betting nitakuwa mpenzi mtazamaji.
Wana option za kijinufaisha wao tu,wanataka wale wao tu ,jana wamenipga sana,wana odds za kijanja janja tu,jana betpawa kala hela yangu hadi ya nauli nikashindwa hata kusafiri,wamenipiga balaaa hadi leo nakaa bila amani ,weekend hii kwangu ni mbaya mnoo.
Sitabet na kampuni za kibongo tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app