Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kutoa mpesa kenya ksh kwenda mpesa tz TSh hakuna gharama ya exchange rate yani ipo automatic, yaaan ukituma kwa ksh utapokea Tsh.. Garama inakuja kwakias cha muamala unachotuma mkuu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikuvurugii siku yako Wala mpango pia upo sahihi kwa lengo uliokusudia Mana ninachokiona hapa tangu Jana unapigia promo Safaricom nasio ipi n option nzuri kula pesa jaribu kuleta mawazo yakuleta pesa Mana Kama n option na odds nzur zipo kampun nyingi Sana hata za hapa bongo na tofauti yake katika sh 100 haizid sh 18.

Hyo ndo sababu naona unatangaza Sana hzo lain ilihali utaratibu wakupata lain upo waz na unajulikana.

LETE ODDS MZEE TULE PESA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…