Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Aiseee eeee
Screenshot_20190116-033532~2.jpeg
 
Huku pia kuna zile zetu za kurukia magoma yakiwa yanachezwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ha a ha ha ha ha..lkn kiukweli kila mtu ana kampun yake pendwa ambayo ameizoea na kila kampun ina changamoto zake,km mimi ni meridian addicted ingawa sasa watumiaji wakiwa wengi hasa week end system inazidiwa inazingua hatar..ila ku withdraw au deposit na malipo within a minute

Tuseme tu kila kampuni lina changamoto zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom