Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ndugu mimi sifany biashar kozi hata mimi nimenunua hiyo lain.. Halafu sipo kwa swala la ku promote 1xbet, kwasabab kila mtu anavutiwa na kampuni aipendayo...kilicho kuwep ni kwamba hiyo kampuni ilikuwep na payment method za Tanzania yaan mpesa na Airtel money ila wameziondoa... Hivyo kuna watu walisha invest huko, kuondolewa kwa hizo njia ndio changamoto zilipo tokea...najaribu kuweka sawa kwa watu wanao penda ku bet kwa kampuni hiyo kua njia mbadala ndio hiyo, kuna Watu wanatumia visa, master card, PayPal, n.k...,Sio kila kitu tunacho kileta humu ni biashara...unge vunga kama ukupendezwa nayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…