Void ab initio
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 5,739
- 5,703
Yalishanikuta kwenye basket,badala ya over nikachagua under nikijua over,mwisho wa siku ikawa under mi nikatukana sana kuja kufungua account ticket imewin dahMazafakaa konkii konkii riquid hivi ushawahi kuclick wrong afu ukashinda ndio mimi yamenikutaa [emoji38][emoji38][emoji38]View attachment 995756View attachment 995757
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahaYalishanikuta kwenye basket,badala ya over nikachagua under nikijua over,mwisho wa siku ikawa under mi nikatukana sana kuja kufungua account ticket imewin dah
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee eeeeView attachment 995791
Kamanda kweli unafuatilia,ikiona fursa tu unatupa ndoano..haina kulala
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ukiwin pawabet wanacherewa sana kuleta mzigo ili uendelee kubet inachukua mpaka 1 hour
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha a ha ha ha ha..lkn kiukweli kila mtu ana kampun yake pendwa ambayo ameizoea na kila kampun ina changamoto zake,km mimi ni meridian addicted ingawa sasa watumiaji wakiwa wengi hasa week end system inazidiwa inazingua hatar..ila ku withdraw au deposit na malipo within a minute
Tuseme tu kila kampuni lina changamoto zakeHa a ha ha ha ha..lkn kiukweli kila mtu ana kampun yake pendwa ambayo ameizoea na kila kampun ina changamoto zake,km mimi ni meridian addicted ingawa sasa watumiaji wakiwa wengi hasa week end system inazidiwa inazingua hatar..ila ku withdraw au deposit na malipo within a minute
Sent using Jamii Forums mobile app