Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ukitoa inachukua mpaka dakika 5 ila watu ninaowakubali kwenye kutoa pesa ni Mkekabet pekee ni kama unavyotuma pesa ndivyo utakavyopokea japo wako hovyo na kodi zao
Mkeka wako poa sana kwenye kutoa pesa na ku update tiketi ila tatizo web yao wakati mwingine iko slow sio user friendly..
 
Aiseee.
Screenshot_20190116-162847~2.jpeg
 
Azam kweli hakuna kitu kwa Ruvu shooting wanashindwa kutoa Over 1.5 loh!😂 hawa ndo wanawekwa kwenye race ya ubingwa mwaka huu 😨😨
 
Back
Top Bottom