Nilikuwa nishaeka elfu 10 nikaogopaAisee Hukujilipua?
Uoga wako ndio umasikini wako..ungekua unatabasamu tu mida hii..Nilikuwa nishaeka elfu 10 nikaogopa
PMbet ndiyo hata usijaribu hao hata ukiweka over 0.5 kwenye mechi moja na goli likapatikana sekunde ya tatu utalipwa baada ya dk 90 japo wana bonus na hawakati kodi
Ukitoa inachukua mpaka dakika 5 ila watu ninaowakubali kwenye kutoa pesa ni Mkekabet pekee ni kama unavyotuma pesa ndivyo utakavyopokea japo wako hovyo na kodi zaovipi primier bet wako vipi kwenye malipo. Pesa hawacheleweshi
Mkeka wako poa sana kwenye kutoa pesa na ku update tiketi ila tatizo web yao wakati mwingine iko slow sio user friendly..Ukitoa inachukua mpaka dakika 5 ila watu ninaowakubali kwenye kutoa pesa ni Mkekabet pekee ni kama unavyotuma pesa ndivyo utakavyopokea japo wako hovyo na kodi zao
Acha woga bibieNilikuwa nishaeka elfu 10 nikaogopa
Bado 2 goals...dakika 40Italy,Lega Pro,4:30PM
Viterbese VS Reggina
OV2.5FT@2.15
Mkuu unatumia njia gani kudeposite1xbet option kama zote nilikua na test mitambo ngoja niongeze dauView attachment 995429
Sent using Jamii Forums mobile app
Game ilikua ngumu ndio maana hata kweny kubet wamepewa wote odds za 2Azam kweli hakuna kitu kwa Ruvu shooting wanashindwa kutoa Over 1.5 loh![emoji23] hawa ndo wanawekwa kwenye race ya ubingwa mwaka huu [emoji32][emoji32]
Italy,Lega Pro,4:30PM
Viterbese VS Reggina
OV2.5FT@2.15