Odd za kitoto sn hizoBarcelona win & over 1.5
Napoli win or Draw
Manchester city win & over 1.5
Totenham total goals over 1.5
Wolfsburg win or draw / over 1.5
Psv win & over 1.5
Ajax win & over 2.5
Trapani win or draw
Cbrugge total goals over 1.5
Hapo vipi wadau?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kampuni za kibongo wanabana sana baada ya kuona tunawagonga kikweli kweli
biashara ya kuisogelea 20M kwa Tshs 20 za kibongo inaendelea sasa timu ya tatu imejibu kule Hong Kong kwa direct win....Bado nampapasa khanjiLeo nimeamua kuchezea mkia wa Khanji....Hapo timu mbili za Australia zimeshatiki naendelea na kuvuta muda kabla ya kuokota dream linerView attachment 1000035 jangwani
Kule naona Real Betis naye mambo yanaenda vizuri...Leo Khanji lazima nikuonyeshe Juzi nimekupiga 6 bila ila vimkwanja vidogo vidogo leo mwenyewe umejaa kwenye 18 nilitaka nile hata 100 unaniambia mwisho 25M? Sasa tubadilishane sarafu!biashara ya kuisogelea 20M kwa Tshs 20 za kibongo inaendelea sasa timu ya tatu imejibu kule Hong Kong kwa direct win....Bado nampapasa khanji
Toa magoli hata mawili ujiletee neema! Team za direct win inabidi uchambue sana! Fulham ni kibonde ila yupo nyumbani na hii ligi sasa ni kufa kupona
Kampuni za kibongo wanabana sana baada ya kuona tunawagonga kikweli kweli
I can win at betPawa.co.tz, join now and win with me! My Betslip at betPawa.co.tz
Huddersfield Town - Manchester City
Total Score Over/Under - FT - Away Team (2.5) (Over)1.71
Emmen - PSV Eindhoven
Total Score Over/Under - FT - Away Team (2.5) (Over)1.66
Club Brugge - Charleroi
Total Score Over/Under - FT - Home Team (1.5) (Over)1.53
Barcelona - Leganes
Total Score Over/Under - FT - Home Team (2.5) (Over)1.71
Frosinone - Atalanta BC
Total Score Over/Under - FT - Away Team (1.5) (Over)1.48
Accept any odds changes?No
5420
Odds: 10.99
Potential winnings: 59 573.45
10% win bonus: 5 957.34
Payout: 65 530.79
Sent using Jamii Forums mobile app
Wale hawana mechi weekend hii...Dah huwa yeye Napoli Inter na Roma hawaniangushi kabisa na huwa natamani wote wawe na mechi za vibonde siku moja
Hawa nawaamini kuliko hata serikali ya nchi yangu. Teh teh!Wale hawana mechi weekend hii...Dah huwa yeye Napoli Inter na Roma hawaniangushi kabisa na huwa natamani wote wawe na mechi za vibonde siku moja
Sijui niufuate huu mkeka kwa 20k?I can win at betPawa.co.tz, join now and win with me! My Betslip at betPawa.co.tz
Huddersfield Town - Manchester City
Total Score Over/Under - FT - Away Team (2.5) (Over)1.71
Emmen - PSV Eindhoven
Total Score Over/Under - FT - Away Team (2.5) (Over)1.66
Club Brugge - Charleroi
Total Score Over/Under - FT - Home Team (1.5) (Over)1.53
Barcelona - Leganes
Total Score Over/Under - FT - Home Team (2.5) (Over)1.71
Frosinone - Atalanta BC
Total Score Over/Under - FT - Away Team (1.5) (Over)1.48
Accept any odds changes?No
5420
Odds: 10.99
Potential winnings: 59 573.45
10% win bonus: 5 957.34
Payout: 65 530.79
Sent using Jamii Forums mobile app
Usilogwe...Man city hawezi kutoa goals tatu ugenini kwa hao jamaa...Nakushauri hapo kwa man city weka full time 1.5 over kisha ingiza mpunga wako.