Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

AISEEE
Screenshot_20190120-145249~2.jpeg
 
biashara ya kuisogelea 20M kwa Tshs 20 za kibongo inaendelea sasa timu ya tatu imejibu kule Hong Kong kwa direct win....Bado nampapasa khanji
Biashara imepamba moto....Baada ya kumpa Betis direct win hatimaye dakika ya mwisho ananitoa sasa nimeshapiga 8 kati ya 27 na waliobaki ewaaaaa acha niendelee kumpapasa Khanji kwa Tshs 20 anipe 20 plus M. Hiyo nyingine hapo
 

Attachments

  • Screenshot_20190120-160043.png
    Screenshot_20190120-160043.png
    65.2 KB · Views: 27
Biashara imepamba moto....Baada ya kumpa Betis direct win hatimaye dakika ya mwisho ananitoa sasa nimeshapiga 8 kati ya 27 na waliobaki ewaaaaa acha niendelee kumpapasa Khanji kwa Tshs 20 anipe 20 plus M. Hiyo nyingine hapo
mkuu unaeza nipatia timu zilizobaki nitembee nao na mimi mana unaweza kutiki huu
 
haya wazee wa basket....kuna pattern ya kila timu kushnda quarter mbili kwenye game za china..italy na philipines,,,yan A akishnda quarter ya kwanza,,B anashnda ya pil,,A anashnda ya tatu,,B anashnda ya nne,,,,baadhi ya ligi A anashnda ya kwanza,,B anashinda ya pili na tatu,,,afu Aanamaliza ya nne........apo unakua unafuatisha majibu tu,,,,,,,uku umewasha flashscore pembeni ukicheki statistics za timu husika na pattern ya quarter zao,,,so ni vema kusubiri quarter ya kwanza iishe,,,then unaangalia pattern kwa livescore af unafuatisha majibuuu,,,,alafu bookmakers unawaua
 
Back
Top Bottom