Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Tutafute mechi 3 A, B, C zinazoweza kutoa matokeo ya ngumu kumeza (12, 21), ikiwa 12=W1W2(HTFT), 21=W2W1(HTFT). Kwa waliosoma probability F4 kuna njia moja inaitwa tree diagram kama nilivyoonesha kwenye huo mchoro, maana yake tukitafuta mechi tatu tutaweka mikeka 8 kwa bukubuku, kama hizo mechi 3 zitatoa matokeo ya 12 au 21 basi lazima tupate mkeka mmoja kati ya hiyo 8. Kazi kubwa ni kutafuta mechi zinazoweza kutoa hayo matokeo. Kama upo tayari tupia hizo mechi hapa nijaribu nitawapatia majibu. NB: Mara nyingi timu zinazofungana sana ndio huwa zinatoa hayo matokeo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfano Mfano

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaitwaje hii Website Mkuu...?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…