ikoje hii mkuu, please Jaribu kufafanua kidogo.Hii ni baada ya kula au ni vipiView attachment 1001104
Mkuu sijaijua vizuri hii ishu mana hawajaweka waz kwamba ukila ndy unapata bonus ya laki kwa hizo odd juu ya 1.8 au wakati unaeka mkeka basi utakua wa laki 2 baada ya laki ingn kuongezeka ila odd ziwe juu ya 1.8
Hahaaa wakimuiga tutatafuta Njia mbadala.betini kabisa..museveni kishapiga marufuku huko..pengine wenzake wanataka kumuiga
Karibu sana...Mzee wa stake mlima..
Tupo pamoja aisee,Over 0.5 First half weka nyumbaView attachment 1001181
Sie kiko ndani ya ilani kaka, hawawezi piga marufuku.betini kabisa..museveni kishapiga marufuku huko..pengine wenzake wanataka kumuiga
Apige marufuku kabisa hizi local betting company zife na international zibaki kama 1xbet. Sababu hizi local bet zimezidi kwa fitna.betini kabisa..museveni kishapiga marufuku huko..pengine wenzake wanataka kumuiga
Sio wewe pekee hata mie mkuu, japo humu kuna member wapo vizuri mno. Tusikate tamaa aiseee twende nao pamoja.Siku ya Jana Nilichaniwa mkeka wangu na team moja tu nilichukua Kwa Emma FAO [emoji85][emoji31][emoji31]
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu tunapenda kuishi kwa ndoto yaani balance mia 600, Lakini amestake elfu 50. Teh teh teh!
Mbn account ni hafifu alaf unashaur mtu ajilipue
Active hiyoo mkuuMbn account ni hafifu alaf unashaur mtu ajilipue