Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jamaa wanatisha!!!
Screenshot_20190121-114150.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weka chimbo hilo basi hapa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hata ukipata hili chombo kula ni changamoto kwako mana usifikir kuna tofaut na hapa jukwaani.kama jinsi kila mtu anatuma mkeka wake hapa, ndy hivyo hivyo wanatuma kule...kama jinsi watu wanavyopuuzia hapa mtu akituma mkeka wake, ndy hvyo hvyo wanapuuzia hata kule ila baada ya muda utaona Won. Nenda playstore dowload Betswall

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom