Void ab initio
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 5,739
- 5,703
AISEE EEEE.
Kweli kula ni rahisi na kuliwa ni rahisiAISEE EEEE.View attachment 1000602
Kabisa Mkuu
We jamaa mshukuru sana Mungu wako.AISEE EEEE.View attachment 1000602
mkuu good idea...embu come again bado cjakupata kwa uzur mkuuTutafute mechi 3 A, B, C zinazoweza kutoa matokeo ya ngumu kumeza (12, 21), ikiwa 12=W1W2(HTFT), 21=W2W1(HTFT). Kwa waliosoma probability F4 kuna njia moja inaitwa tree diagram kama nilivyoonesha kwenye huo mchoro, maana yake tukitafuta mechi tatu tutaweka mikeka 8 kwa bukubuku, kama hizo mechi 3 zitatoa matokeo ya 12 au 21 basi lazima tupate mkeka mmoja kati ya hiyo 8. Kazi kubwa ni kutafuta mechi zinazoweza kutoa hayo matokeo. Kama upo tayari tupia hizo mechi hapa nijaribu nitawapatia majibu. NB: Mara nyingi timu zinazofungana sana ndio huwa zinatoa hayo matokeo.View attachment 1000374
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa for sure, ila nilijiandaa kisaikolojia.We jamaa mshukuru sana Mungu wako.
Umesahau barcelona saivSijategemea kukuta huu Uzi kuwa page hazijaongezeka tokea saa 11nlivoacha simu mpaka muda huu sa sita usiku kweli betting nuksi aisee, dah sio club brugge, PSV, Ajax mzee wa goli 5 na first half kampa my 3 lakin full time mzee kadroo dah betting nuksi aisee
One one hukoNimemuacha 1-0 ilkua ka dk ya 34 waxha nirud huko nijionee
[emoji2] [emoji2] [emoji2] yaan apo ndo tunashindana na kanju yaan low stake una win ....jifanye mjanja jilipue uone